Tofauti kati ya marekesbisho "Tanganyika African National Union"

no edit summary
d (File renamed: File:Tz 1961.svgFile:Flag of TANU.svg File renaming criterion #2: Change from completely meaningless names into suitable names, according to what the image displays.correct name)
Tags: Mobile edit Mobile web edit
TANU ilianzishwa [[7 Julai]] [[1954]] kutokana na [[Tanganyika African Association]] (TAA). TAA ilikuwa na mwelekeo wa kitamaduni zaidi ya siasa. Mwenyekiti wa kwanza wa TANU alikuwa [[Julius Kambarage Nyerere]].
 
TANU ilishinda kila uchaguzi chini ya utawala wa kikoloni ikawa chama cha kuongoza TanzaniaTanganyika hadi ilipopata uhuru wake mwaka 1961. [[Katiba]] ya Taifa ya mwaka 1962 ilifanya TANU kuwa chama cha pekee nchini ikifuata mfano wa [[nchi za kijamaa]] zenye muundo wa [[siasa ya chama kimoja]].
 
[[Category:Siasa ya Tanzania|TANU]]