Muhammadu Buhari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 17 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q361567 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Muhammadu Buhari.jpg|thumb|Buhari]]
 
'''Muhammadu Buhari''' (amezaliwa tar. [[17 Desemba]] [[1942]]) alikuwa kiongozi wa kijeshi, rais (7) wa nchini [[Nigeria]], toka [[31 Desemba]] mwaka [[1983]] hadi [[27 Agosti]] mwaka [[1985]]. Mnamo tarehe [[19 Aprili]] ya mwaka [[2003]] alikuwa mgombea urais katika uchaguzi wa kitaifa wa mwaka huo, lakini hakuibuka kuwa mshindi.