Mkoa wa Manyara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
Katika mkoa huu wa Manyara Kabila la Wairaqw wanatambulika pia kama Wambulu au wamburu, Kabila hili sehemu kubwa lipo wilaya ya Mbulu na ndiyo chimbuko la jina la wambulu/wamburu kama wakazi wa wilaya hii. Hivyo hakuna kabila la wambulu/wamburu ni wakazi
Mstari 9:
Idadi imepatika katika wilaya zifuatazo (idadi ya wakazi katika mabano): Babati (303,013), Hanang (205,133), Mbulu (237,882), Simanjiro (141,676) na Kiteto (152,757)
 
Wenyeji wa mkoa huu ni pamoja na WairaqWairaqw, Wamasai, WambuluWasonjo, wafyomi, na Wabarbaiq wakijihusisha na shughuli za kilimo na ufugaji kama njia ya kuingiza kipato chao cha kila siku.
 
Mkoa huu unayo majimbo ya uchaguzi yanayofikia (5) ambayo yanajumuisha majimbo ya Babati, Kiteto, Hanang, Mbulu na Simanjiro.