Mkoa wa Manyara : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Katika mkoa huu wa Manyara Kabila la Wairaqw wanatambulika pia kama Wambulu au wamburu, Kabila hili sehemu kubwa lipo wilaya ya Mbulu na ndiyo chimbuko la jina la wambulu/wamburu kama wakazi wa wilaya hii. Hivyo hakuna kabila la wambulu/wamburu ni wakazi |
No edit summary |
||
Mstari 9:
Idadi imepatika katika wilaya zifuatazo (idadi ya wakazi katika mabano): Babati (303,013), Hanang (205,133), Mbulu (237,882), Simanjiro (141,676) na Kiteto (152,757)
Wenyeji wa mkoa huu ni pamoja na [[Wairaqw]], [[Wamasai]], [[Wasonjo]],
Mkoa huu unayo majimbo ya uchaguzi yanayofikia (5) ambayo yanajumuisha majimbo ya Babati, Kiteto, Hanang, Mbulu na Simanjiro.
|