Harun ar-Rashid : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
Alianzisha Dar-al-Hikma (yaani [[Nyumba]] ya [[hekima]]) mjini [[Baghdad]] iliyokuwa kama [[chuo kikuu]] ambako vitabu vingi vilitafsiriwa kwa [[lugha]] ya Kiarabu kutoka [[Kigiriki]], [[Kichina]], [[Kisanskrit]], [[Kiajemi]] na [[Kiaramu]] (Syriac). Kwa njia hiyo Baghdad ilikuwa [[kitovu]] cha elimu cha kimataifa wakati huo.
 
Harun alituma ma[[balozi]] kwenda hadi [[China]] na pia kwa [[Kaisari]] [[Karolo Mkuu]] wa [[Dola Takatifu la Kiroma]].
 
Mwaka [[796]] Harun ar-Rashid alihamisha [[mji mkuu]] wake kutoka Baghdad kwenda [[Raqqa]] katika [[Syria]].
Mstari 28:
* {{cite book | last=Zabeth | first=Hyder Reza | title=Landmarks of Mashhad | publisher=Alhoda UK | year=1999 | isbn=964-444-221-0}}
 
[[Jamii:MahalifaKhalifa]]
[[Jamii:Watu wa Iran]]
[[Jamii:Historia ya Uislamu]]