Uongozi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 4:
==Maana ya uongozi==
Uongozi ni dhana, taaluma inayompa
==Aina za uongozi==
Mstari 29:
Kiongozi ni lazima awe na ufahamu mkubwa juu ya taasisi anayoiongoza, malengo yake, mazingira na matatizo yake.
ii.
Kila taasisi inalenga kufikia lengo fulani. Ni wajibu wa kiongozi kuwaongoza wana taasisi ili wafikie malengo yao. Kwa hiyo kiongozi ni lazima aweze kubuni mikakati na mbinu zitakazoiwezesha taasisi anayoongoza kufikia malengo yake.
iii. Mwenye Maadili mema.
Kiongozi ni lazima akubalike katika jamii na taasisi anayoiongoza. Ili akubalike ana budi kuzingatia maadili ya msingi ya jamii na taasisi yake. Kiongozi mwongo, mlevi, mvivu, asiye mwaminifu n.k hawezi kuwa kiongozi mzuri.
iv.
[[Jamii:Jamii]]
|