Siasa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Siasa''' ni njia ya kufanya [[maamuzi]] katika [[taifa]], [[mji]] au hata [[dunia]] nzima ([[siasa ya kimatatifa]]).
▲Siasa ni njia ya kufanya [[maamuzi]] katika [[taifa]], [[mji]] au hata [[dunia]] nzima ([[siasa ya kimatatifa]]). Sehemu muhimu ya siasa ni [[majadiliano]] kati ya watu mbalimbali wenye [[nguvu]] au [[mamlaka]].
Sehemu muhimu ya siasa ni [[majadiliano]] kati ya watu mbalimbali wenye [[nguvu]] au [[mamlaka]].
Katika [[demokrasia]] kila mtu ana kiasi fulani cha nguvu, na kwa hiyo siasa ya demokrasia ina maana ya watu wote kujadiliana kuhusu maamuzi.▼
Hapo chini, mifumo mingine ya kisiasa huelezwa kifupi:▼
▲Katika [[demokrasia]] kila mtu ana kiasi fulani cha nguvu,
==Utawala wa Kifalme== ▼
ni mfumo wa kiuongozi unaompa mamlaka ya dola na serikali Mfalme. Katika mfumo huu madaraka hurithiwa na familia ya kifalme.▼
▲ni mfumo wa
==Utawala wa Kiimla==
ni mfumo wa
==Utawala finyu==
ni mfumo unaowapa wachache nguvu za maamuzi katika dola na serikali. Nafasi ya wachache hawa hutokana na [[haiba]] na [[uwezo]] wao
==Utawala wa Umma==
ni utawala unaotokana na jamii kuamua misingi ya kujiongoza. Mfumo huu wa utawala hujulikana kama Utawala wa Kidemokrasia na umegawanyika katika sehemu nne.
===Demokrasia Baguzi===
ni aina ya Demokrasia inayojikita katika kulinda nguvu za kiuchumi zaidi.
===Demokrasia Duni===
ni aina ya demokrasia inayotokana na makundi ya watu na kisha kupitia makundi hayo watu kuunda serikali
===Demokrasia Endelevu===
ni aina ya demokrasia inayotoa [[fursa]] ya [[usawa]] na kupinga
===Demokrasia Shirikishi===
==Demokrasia==
ni mfumo unatoa fursa ya madaraka kwa [[umma]] moja kwa moja au kutokana na kuwakilishwa.
{{mbegu}}
[[Jamii:Siasa]]
|