Tofauti kati ya marekesbisho "Maana ya maisha"

Replacing Khanda1.svg with File:Khanda.svg (by CommonsDelinker because: Duplicate: Exact or scaled-down duplicate: commons::File:Khanda.svg).
d (Aliulinda "Maana ya maisha" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho)))
(Replacing Khanda1.svg with File:Khanda.svg (by CommonsDelinker because: Duplicate: Exact or scaled-down duplicate: commons::File:Khanda.svg).)
 
====Kalasinga====
[[File:Khanda1Khanda.svg|thumb|110px|left|Ishara ya kidini ya Khanda, ambayo ni ishara muhimu ya dini ya Kalasinga.]]
 
Dini yenye Mungu mmoja ya [[Kalasinga]] ilianzishwa na [[Guru]] [[Nanak Dev]]. Neno "Kalasinga" linamaanisha mwanafunzi, kuashiria kwamba wafuasi wataishi maisha yao milele wakijifunza. Mfumo huu wa falsafa ya dini na kueleza imejulikana tangu jadi kama Gurmat (maana yake shauri la maguru) au Sikh Dharma. Wafuasi wa Kalasinga wametakaswa kuyafuata mafundisho ya maguru wa Sikh kumi, au viongozi wa kutaalamika, na pia maandiko matakatifu yaitwayo Gurū Granth Sāhib yanayojumuisha maandiko mbalimbali yaliyochaguliwa na wanafalsafa wengi kutoka mazingira mbalimbali ya kijamii, kiuchumi na kidini.