Lugha za Kibantu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 53 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q33146 (translate me)
Mstari 13:
== Tabia za Kibantu na historia ya lugha ==
Lugha za Kibantu zina tabia mbalimbali za pamoja. Kati ya tabia hizo kuna viambishi awali na [[ngeli za nomino]].
mmekosea kuandika neno haririri sio hariri ni hahriri
 
Kutokana na sifa hizo wataalamu wamekadiria kwamba asili ya lugha za Kibantu ilikuwa katika maeneo ya [[Kamerun]] ya Kusini; kutoka huko wasemaji asilia wa Kibantu walihamia katika [[milenia ya pili KK]] [[Kongo]] hadi [[Zambia]]. Waliendelea kuhamahama na kupanuka hadi kufika maeneo yote walipo sasa. Sehemu kubwa ya maeneo ya wasemaji wa lugha za Kibantu zilikaliwa awali na wasemaji wa [[lugha za Khoikhoi]]. Wataalamu wamekisia kwamba Wabantu walifaulu kunea kutokana na maarifa yao ya kilimo na hasa matumizi ya chuma katika zana za kilimo na pia silaha.