Lugha za Kiaustronesia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d +viungo vya nje using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Langues-autronesiennes.png|thumbnail|Uenezaji wa lugha za Kiaustronesia duniani]]
'''Lugha za Kiaustronesia''' ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa katika visiwa vya Pasifiki, vya Asia ya Kusini-Mashariki na kisiwa cha [[Madagaska]]. Katika familia hiyo kuna lugha zaidi ya 1200 zenye wasemaji milioni 386. Lugha ya Kiaustronesia yenye wasemaji wengi mno ni [[Kimalay]] ambayo huzungumzwa na watu milioni 180.
 
==Viungo vya nje==
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/aust1307 lugha za Kiaustronesia katika Glottolog]
 
{{mbegu-lugha}}