Uhindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 232 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q668 (translate me)
No edit summary
Mstari 53:
}}
[[File:India in its region (undisputed).svg|thumb|]]
'''Uhindi''' (pia: '''India''') ni [[nchi]] katika [[bara]] la [[Asia]]. NiKwa nchieneo ina nafasi ya kidemokrasia kubwasaba duniani., Kufuatanalakini nakwa [[idadi]] ya wakazi ni nchi ya pili duniani baada ya [China[dunia].]ni Kufuatana na eneo ina nafasibaada ya saba duniani. Imepakana na [[Pakistan]], [[China]], [[Nepal]],. [[Bhutan]], [[Bangladesh]]Ni nanchi ya ki[[Myanmardemokrasia]]. yenye Mjiwatu mkuuwengi nizaidi [[New Delhi]]duniani.
 
Imepakana na [[Pakistan]], [[China]], [[Nepal]], [[Bhutan]], [[Bangladesh]] na [[Myanmar]].
Wakazi walio wengi (80 %) hufuata dini ya [[Uhindu]]. Takriban 13 %- 14 % ni [[Uislamu|Waislamu]]; hivyo Waislamu wa Uhindi ni jumuiya ya pili katika dunia ya kiislamu baada ya waislamu wa [[Indonesia]]. Dini nyingine ni Ukristo, Usikh, Ubuddha na Ujain.
 
[[Mji mkuu]] ni [[New Delhi]].
Lugha ya kitaifa ni [[Kihindi]] ambacho ni [[lugha ya Kihindi-Kiulaya]]. [[Kiingereza]] hutumiwa kama lugha ya kiutawala ya kitaifa pia kwenye ngazi ya majimbo. Kuna lugha 21 kubwa na lugha nyingi zisizo na wasemaji wengi sana. Katika kusini ya Uhindi watu husema lugha kama [[Kikannada]], [[Kitelugu]], [[Kitamil]] na [[Kimalayalam]]. Katika kaskazini husema hasa [[Kipunjabi]], [[Kibengali]], [[Kigujarati]] na [[Kimarathi]].
 
Wakazi walio wengi (80 %) hufuata [[dini]] ya [[Uhindu]]. Takriban 13 %- 14 % ni [[Uislamu|Waislamu]]; hivyo Waislamu wa Uhindi ni jumuiya ya pili katika dunia ya kiislamuKiislamu baada ya waislamuWaislamu wa [[Indonesia]]. Dini nyingine ni [[Ukristo]], [[Usikh]], [[Ubuddha]] na [[Ujain]].
Kiutawala Uhindi ni shirikisho la jamhuri lenye majimbo ya kujitawala 28 pamoja na maeneo ya shirikisho 7.
 
[[Lugha ya kitaifataifa]] ni [[Kihindi]] ambacho ni [[lugha ya Kihindi-Kiulaya]]. [[Kiingereza]] hutumiwa kama [[lugha]] ya kiutawala ya kitaifa pia kwenye ngazi ya majimbo. Kuna lugha 21 kubwa na lugha nyingi zisizo na wasemaji wengi sana. KatikaKusini kusini yamwa Uhindi watu husema lugha kama [[Kikannada]], [[Kitelugu]], [[Kitamil]] na [[Kimalayalam]]. Katika kaskaziniKaskazini husema hasa [[Kipunjabi]], [[Kibengali]], [[Kigujarati]] na [[Kimarathi]].
 
Kiutawala Uhindi ni [[shirikisho]] la [[jamhuri]] lenye majimbo ya kujitawala 28 pamoja na maeneo ya shirikisho 7.
 
== Historia ==
'':tazama pia: [[Uhindi wa Kiingereza]]''
 
 
== Tazama pia ==