Tofauti kati ya marekesbisho "Uhindi"

Taarifa zilizopitwa na wakati
(Taarifa zilizopitwa na wakati)
}}
[[File:India in its region (undisputed).svg|thumb|]]
'''Uhindi''' (pia: '''India''') ni [[nchi]] katika [[bara]] la [[Asia]]. Kwa eneo ina nafasi ya saba duniani, lakini kwa [[idadi]] ya wakazi (1,210,193,422 mwaka [[2011]]) ni nchi ya pili [[dunia]]ni baada ya [[China]]]. Ni nchi ya ki[[demokrasia]] yenye watu wengi zaidi duniani.
 
Imepakana na [[Pakistan]], [[China]], [[Nepal]], [[Bhutan]], [[Bangladesh]] na [[Myanmar]].
 
[[Mji mkuu]] ni [[New Delhi]], lakini [[mji]] mkubwa zaidi ni [[Mumbai]].
 
Wakazi walio wengi (80.5 %) hufuata [[dini]] ya [[Uhindu]]. Takriban 13 %- 14.4 % ni [[Uislamu|Waislamu]]; hivyo Waislamu wa Uhindi ni jumuiya ya pilitatu katika dunia[[umma]] yawa Kiislamu baada ya Waislamu wa [[Indonesia]]. Dini nyingine ni [[Ukristo]] (2.3%), [[Usikh]] (1,9%), [[Ubuddha]] na(0.8%), [[Ujain]] (0.4%), [[Uzoroastro]] na [[Bahai]].
 
[[Lugha ya taifa|Lugha ]]<nowiki/>rasmi ni [[Kihindi]], ambacho ni [[lugha ya Kihindi-Kiulaya]]., [[Kiingereza]] hutumiwapamoja kamana [[lughaKiingereza]] ya kiutawala ya kitaifa pia kwenye ngazi ya majimbo. Kuna lugha 21 kubwa na lugha nyingi zisizo na wasemaji wengi sana. Kusini mwa Uhindi watu husema lugha kama [[Kikannada]], [[Kitelugu]], [[Kitamil]] na [[Kimalayalam]]. Kaskazini husema hasa [[Kipunjabi]], [[Kibengali]], [[Kigujarati]] na [[Kimarathi]].
 
Kiutawala Uhindi ni [[shirikisho]] la [[jamhuri]] lenye majimbo ya kujitawala 2829 pamoja na maeneo ya shirikisho 7.
 
== Historia ==