Nagasaki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q38234 (translate me)
dNo edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Map Nagasaki en.png|thumb|300px|Mahali pa Nagasaki]]
 
'''Nagasaki''' ni [[mji]] wa [[Japani]] kwenye [[kisiwa]] cha [[Kyushu]] mwenye wakazi 450,000. Imejulikana kimataifa kwa sababu iliharibiwa mwaka [[1945]] na [[bomu la nyuklia]] ya Ki[[marekani]] kama mji wa pili katika historia baada ya [[Hiroshima]]. Bomu likaua watu 36,000 mara moja na wengine waliokadiriwa kuwa kati ya 70,000 na 100,000 walikufa baadaye kufuatana athira ya [[mnururisho wa kinyuklia]].
 
Umejulikana kimataifa kwa sababu uliharibiwa mwaka [[1945]] na [[bomu la nyuklia]] la Ki[[marekani]] kama mji wa pili katika [[historia]] baada ya [[Hiroshima]]. [[Bomu]] liliua watu 36,000 mara moja na wengine waliokadiriwa kuwa kati ya 70,000 na 100,000 walikufa baadaye kufuatana athira ya [[mnururisho wa kinyuklia]].
Kihistoria Nagasaki ilikuwa kitovu cha [[Ukristo]] katika Japani mnamo mwaka 1600. Imani hii ilipigwa marufuku na serikali na Wakristo wengi waliuawa katika miaka iliyofuata. Wachache walitunza imani kwa siri hadi kurudishwa kwa uhuru wa kidini katika [[karne ya 19]].
 
Kihistoria Nagasaki ilikuwa [[kitovu]] cha [[Ukristo]] katika Japani mnamo mwaka [[1600]]. [[Imani]] hiihiyo ilipigwa [[marufuku]] na serikali, nahivyo Wakristo wengi [[k|waliuawa]] katika miaka iliyofuata. Wachache walitunza imani kwa siri hadi kurudishwa kwa [[uhuru wa kidinidini]] katika [[karne ya 19]].
 
== Viungo vya Nje ==