Tofauti kati ya marekesbisho "Nagasaki"

36 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
d
[[Picha:Nagasaki C1414.jpg|thumb|300px|Nagasaki mwaka [[2004]].]]
[[Picha:Map Nagasaki en.png|thumb|300px|Mahali pa Nagasaki.]]
 
'''Nagasaki''' ni [[mji]] wa [[Japani]] kwenye [[kisiwa]] cha [[Kyushu]] mwenye wakazi 450,000.
 
Umejulikana kimataifa kwa sababu uliharibiwa mwakatarehe [[9 Agosti]] [[1945]] na [[bomu la nyuklia]] la Ki[[marekani]] kama mji wa pili katika [[historia]] baada ya [[Hiroshima]]. [[Bomu]] hilo liliua watu 36,000 mara moja na wengine waliokadiriwa kuwa kati ya 70,000 na 100,000 walikufa baadaye kufuatana athira ya [[mnururisho wa kinyuklia]].
 
Kihistoria Nagasaki ilikuwa [[kitovu]] cha [[Ukristo]] katika Japani mnamo mwaka [[1600]]. [[Imani]] hiyo ilipigwa [[marufuku]] na [[serikali]], hivyo Wakristo wengi [[kkifodini|waliuawa]] katika miaka iliyofuata. Wachache walitunza imani kwa siri hadi kurudishwa kwa [[uhuru wa dini]] katika [[karne ya 19]].
 
== Viungo vya Nje ==