Meksiko : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 54:
'''Meksiko''' ni nchi kubwa inayohesabiwa
Imepakana na [[Marekani]] upande wa kaskazini. Upande wa kusini majirani ni [[Guatemala]] na [[Belize]].
Ina pwani ndefu na bahari za [[Pasifiki]] na [[Ghuba ya Meksiko]]. Mji mkuu ni [[Mexico City]].
== Historia ==
Nchi jinsi ilivyo leo imeundwa na wakoloni Wa[[hispania]] walioivamia kuanzia mwaka [[1519]] na kuvunja utawala wa milki za wenyeji kama [[Azteki]] na [[Maya]]. ▼
== Watu ==
Wakazi wengi ni ma[[chotara]] wenye damu ya [[Wahindi wekundu]] na [[Wazungu]].
Hutumia [[lugha]] ya [[Kihispania]] ambayo ni
Upande wa [[dini]] walio wengi ni wafuasi wa [[Yesu Kristo]] katika [[Kanisa Katoliki]] (83%) au [[madhehebu]] mengine (10%).
== Majimbo ya Mexiko ==
Line 102 ⟶ 108:
[[Picha:Mx-map.png|thumb|400px|Ramani ya Mexiko]]
▲Nchi jinsi ilivyo leo imeundwa na wakoloni Wa[[hispania]] walioivamia kuanzia mwaka [[1519]] na kuvunja utawala wa milki za wenyeji kama [[Azteki]] na [[Maya]].
|