Barbadosi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 160 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q244 (translate me)
No edit summary
Mstari 49:
|calling_code = [[Area code 246|1-246]]
|footnotes = }}
'''Barbados''' ni [[nchi ya kisiwani]] katika [[Bahari ya Karibi]] takriban 430 [[km]] [[kaskazini.]] - [[mashariki]] yakwa [[Venezuela]] ([[Amerika Kusini]]).
 
Nchi jirani za karibu kuvukia [[bahari]] ni [[Saint Lucia]] na [[Saint Vincent]] upande wa [[magharibi]], [[Trinidad na Tobago]] upande wa [[kusini]] na [[Grenada]] upande wa kusini-magharibi. Barbados ni kisiwa cha [[Antili Ndogo]].
 
Barbados ni kisiwa cha [[Antili Ndogo]]. Kwa [[urefu]] kinafikia [[km]] 34 na kwa [[upana]] 23.
 
Wakazi ni 277,821, na kwa [[asilimia]] 93 wana [[asili]] ya [[Afrika]].
 
Upande wa [[dini]], 74.6% ni [[Wakristo]], hasa [[Waanglikana]].
{{mbegu-jio-Karibi}}