Ustaarabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 95 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q8432 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Ustaarabu''' ni aina ya [[utamaduni]] uliyoendelea.
'''Ustaarabu''' ni aina ya [[utamaduni]] uliyoendelea. Mifano ya kwanza ilipatikana [[Mesopotamia]] watu walipoanza [[uzalishaji]] wa mahitaji yao kwa njia ya [[ufugaji]], [[kilimo]] n.k. Taratibu walianzisha [[mji|miji]], [[serikali]], [[sheria]] n.k. Vilevile walibuni [[uandishi]] uliowezesha kudumisha na kushirikisha [[ujuzi]].
 
Katika fani ya historia "ustaarabu" ([[ing.]] ''civilisation'') ni hali ya jamii iliyoendelea juu ya kuishi katika jumuiya ndogo zinazojitegema katika mahitaji yote. Kwenye hali ya ustaarabu watu wanashirikiana katika eneo kubwa zaidi, huwa na namna ya [[serikali]]. Shughuli zinagawanywa kati ya vikundi, tabaka na kazi mbalimbali chini ya kanuni na [[sheria]] zinazosimamiwa na mtawala au [[serikali]].
 
Katika historia ustaarabu kwa maana hii ulitokea penye [[kilimo]] ambako wakulima walianza kutoa sehemu ya mapato yao kwa mtawala au serikali fulani. Mapato haya yalitumiwa kugharamia jeshi au silaha kwa kutetea jamii, mafundi na wasanii, ujenzi wa [[mahekalu]], [[maboma]], mifereji ya [[umwagiliaji]] mashamba, ghala kwa mazao. [[Miji]] ilitokea ambako sehemu ya watu haikuzalisha vyakula bali kushughulika kazi za pekee.
Mahitaji ya kusimamia na kupanga kodi na mahitaji mengine ya utawala yalisababisha kutokea kwa mbinu za kushika kumbukumbu hivyo vyanzo vya kuandika na kuhesabu.
 
Kwa maana hii "ustaarabu" hutazamiwa tofauti na maisha katika hali ya jumuiya ndogo ambako watu huishi katika koo ndogo za wakusanyaji, au makabila madogo yanayofuata zaidi mila na desturi lakini hawana mamlaka ya juu inayogharamiwa na wote.
 
Kati ya ustaarabu wa kwanza zinazojulikana katika historia kuna [[Mesopotamia]], [[Misri ya Kale]], Uhindi na China ambako ugawaji wa maji ya mito mikubwa katika mazingira yabisi yalikuwa msingi wa ushirikiano wa watu katika maeneo makubwa.
 
[[Jamii:Elimu jamii]]
[jamii:historia]]