Mlima Meru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 28 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q309098 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[picha:mount_meru_sat_photo.jpg|right|thumb|250px|Mlima Meru kutoka juu]]
'''mlimaMlima Meru''' ni mlima wa volkeno na una urefu wa mita 4565 (futi 15064) kutoka usawa wa bahari. Mlima huu ni wa tano kwa urefu katika bara la Afrika.
 
Mlima Meru unapatikana ndani ya [[Hifadhi ya Arusha]] ambayo ilianzishwa mwaka 1960 ambapo wanyama pori kuzunguka [[Maziwa ya Momella]] na Volcano ya Ngurudoto (''Ngurudoto crater'') walihifadhiwa na kulinwa katika eneo hili.
 
Hifadhi hii ina ukubwa wa kilometa za mraba 137 na ipo umbali wa kilometa 35 kutoka katika mji wa kitalii wa [[Arusha]] na [[Uwanja wa ngegendege wa Kilimanjaro]].[[picha:Meru Ashcone.jpg|left|thumb|250px|Kilele cha Mlima Meru]]
Vivutio katika hifadhi hii vinajumuisha [[volkeno]], maziwa, [[Misitumisitu]] na wanyama pori kama twiga, tembo, pundamilia, nyati na wengine wengi. Pia kuna ndege wa aina nyingi wakiwemo ''flamingo'', pia misitu katika mlima Meru ni makazi ya nyani.
 
 
[[picha:Meru Ashcone.jpg|left|thumb|250px|Kilele cha Mlima Meru]]
Vivutio katika hifadhi hii vinajumuisha [[volkeno]], maziwa, [[Misitu]] na wanyama pori kama twiga, tembo, pundamilia, nyati na wengine wengi. Pia kuna ndege wa aina nyingi wakiwemo ''flamingo'', pia misitu katika mlima Meru ni makazi ya nyani.
 
 
Kupanda Mlima Meru inachukua siku tatu hadi nne na wakati mzuri wa kupanda mlima ni kuanzia mwezi Juni hadi Februari ambapo mvua zinaweza kunyesha katika mwezi wa Novemba. Na wakati mzuri wa kuona Kilimanjaro kutokea Meru ni mwezi kati ya Desemba na Februari.