Ustaarabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Ustaarabu''' ni aina ya [[utamaduni]] uliyoendelea.
[[Picha:Egypt.Giza.Sphinx.02.jpg|300px|thumbnail|Ustaarabu wa [[Misri ya Kale]] ulibuni majengoma[[jengo]] ya [[piramidi]] miaka 5000 iliyopita.]]
Katika [[fani]] ya [[historia]] "ustaarabu" (kwa [[ing.Kiingereza]] ''civilisation'') ni hali ya [[jamii]] iliyoendelea juu ya kuishi katika [[jumuiya]] ndogo zinazojitegema katika mahitaji yote. Kwenye hali ya ustaarabu watu wanashirikiana katika eneo kubwa zaidi, huwa na namna ya [[serikali]]. [[Shughuli]] zinagawanywa kati ya vikundi, ma[[tabaka]] na [[kazi]] mbalimbali chini ya [[kanuni]] na [[sheria]] zinazosimamiwa na mtawala au [[serikali]].
 
Katika historia ustaarabu kwa maana hii ulitokea penye [[kilimo]] ambako wakulima walianza kutoa sehemu ya mapatoma[[pato]] yao kwa mtawala au serikali fulani. Mapato hayahayo yalitumiwa kugharamia [[jeshi]] au [[silaha]] kwa kutetea jamii, mafundima[[fundi]] na [[wasanii]], [[ujenzi]] wa [[hekalu|mahekalu]], [[boma|maboma]], [[mfereji|mifereji]] ya [[umwagiliaji]] mashambama[[shamba]], [[ghala]] kwa mazao n.k.

[[Miji]] ilitokea ambako sehemu ya watu haikuzalisha [[chakula|vyakula]] bali kushughulika na kazi za pekee.
Mahitaji ya kusimamia na kupanga [[kodi]] na mahitaji mengine ya [[utawala]] yalisababisha kutokea kwa [[mbinu]] za kushikakutunza [[kumbukumbu]], hivyo vyanzo vya kuandika na kuhesabu.
 
Kwa maana hii "ustaarabu" hutazamiwa tofauti na maisha katika hali ya jumuiya ndogo ambako watu huishi katika koo ndogo za wakusanyaji, au makabilama[[kabila]] madogo yanayofuata zaidi [[mila]] na [[desturi]] lakini hawana [[mamlaka]] ya juu inayogharamiwa na wote.
 
Kati ya ustaarabu wa kwanza zinazojulikana katika historia kuna [[Mesopotamia]], [[Misri ya Kale]], [[Uhindi]] na [[China]] ambako ugawaji wa [[maji]] ya mito mikubwa katika [[mazingira]] yabisi yalikuwa msingi wa [[ushirikiano]] wa watu katika maeneo makubwa.
Kwa maana hii "ustaarabu" hutazamiwa tofauti na maisha katika hali ya jumuiya ndogo ambako watu huishi katika koo ndogo za wakusanyaji, au makabila madogo yanayofuata zaidi mila na desturi lakini hawana mamlaka ya juu inayogharamiwa na wote.
 
{{mbegu-historia}}
Kati ya ustaarabu wa kwanza zinazojulikana katika historia kuna [[Mesopotamia]], [[Misri ya Kale]], Uhindi na China ambako ugawaji wa maji ya mito mikubwa katika mazingira yabisi yalikuwa msingi wa ushirikiano wa watu katika maeneo makubwa.
 
[[Jamii:Elimu jamii]]
[jamii[Jamii:historiaHistoria]]