Tofauti kati ya marekesbisho "Urithi wa Dunia"

89 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q9259 (translate me))
'''Urithi wa Dunia''' ni maeneo yenye thamani kubwa ya ki[[utamaduni]] au ki[[mazingira]] duniani yanayoangaliwa na shirika la [[UNESCO]].
 
Hadi mwisho wa mwaka [[20092014]] sehemu 8901007 katika nchi 148161 zimekubaliwa. Nchi inayoongoza kwa wingi wa mahali ni [[Italia]] yenye 455O, ikifuatwa na [[China]] (47) na [[Hispania]] (44).
 
[[Afrika]] ina mahali 91.
Orodha rasmi ya UNESCO ina mahali 689 pa urithi wa dunia wa kiutamaduni na mahali 176 pa urithi wa dunia wa kimazingira, mbali ya 25 pa mseto.
 
Orodha rasmi ya UNESCO ina mahali 689779 pa urithi wa dunia wa kiutamaduni na mahali 176197 pa urithi wa dunia wa kimazingira, mbali ya 2531 pa mseto.
 
Mwanzo wa jitihada za kuhifadhi urithi wa dunia ulikuwa ujenzi wa [[bwawa]] la [[Assuan]] lililoelekea kuzamisha majengo mbalimbali ya utamaduni wa [[Misri]] na [[Nubia]] wa kale chini ya [[maji]]. Wakati ule UNESCO ilifaulu kukusanya [[pesa]] ili [[hekalu]] la [[Abu Simbel]] liweze kuhamishwa mlimani kabla ya kujaa kwa bwawa.
== Viungo vya nje ==
* [http://whc.unesco.org/ Tovuti rasmi kwa Kiingereza]
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Umoja wa Mataifa]]