Ghana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 192:
 
== Uchumi ==
[[Picha:50 cedis.jpg|thumb|right|200px|Sidi ya Ghana (Ghanaian Cedi)]]
Ikiwa imejaliwa sana na maliasili, nchi ya Ghana ina mapato yanayokadiriwa kupata kila mtu (per capita output) yaliyo mara mbili yakilinganishwa na yale ya nchi zilizo maskini zaidi za Afrika Magharibi. Hata hivyo, Ghana imebakia kutegemea kwa kiwango fulani biashara na usaidizi wa kimataifa na vilevile shughuli za uwekezaji kutokana na Waghana wanaoishi nchi za ng’ambo. Karibu 28% ya wakazi wanaishi chini ya mstari wa kimataifa wa umaskini wa dola za kimarekani 1.25 kwa siku,<ref>''[http://hdr.undp.org/en/media/HDI_2008_EN_Tables.pdf fahirisi ya Maendeleo ya Binadamu,]'' Jedwali 3: Binadamu na umaskini wa kipato, s. 35. Rudishwa tarehe 1 Juni 2009</ref> na kwa mujibu wa wa Benki ya Dunia, kisio la mapato ya kila mtu (per capita income) ya Ghana yamekuwa mara dufu lakini kwa shida kwa miaka 45 iliyopita.<ref>{{Cite web |url=http://www.cnn.com/2009/WORLD/africa/07/10/ghana.obama/index.html|work=CNN|title=Obama's Ghana trip sends message across Africa|date=10 Julai 2009}}</ref>
 
Line 198 ⟶ 197:
[[Picha:Sunyani Cocoa House.jpg|thumb|left|200px|Jumba la Kakao la Sunyani]] Bwawa la Akosombo, ambalo lilijengwa juu ya Mto Volta mnamo mwaka wa 1965 linatoa umeme unaozalishwa na maji kwa nchi ya Ghana na nchi zinazoizunguka.
 
Nguvukazi ya Ghana katika mwaka wa 2008 ilikuwa jumla ya watu milioni 11.5 <ref name="cia.gov">[https: / / www.cia.gov / library / publications / the-dunia-factbook / geos / gh.html] {{dead link|date=Agosti 2009}}</ref> Uchumi unaendelea kutegemea sana kilimo ambacho huchangia 37% ya Pato la Taifa na kutoa ajira kwa kwa 56% ya watu wanaofanya kazi,<ref name="cia.gov"/> hasa wenye ardhi ndogo. Sekta ya viwanda ni sehemu ndogo tu ya uchumi wa Ghana iliyochangia kwa ujumla 7.9% ya Pato la Taifa mnamo 2007.<ref>{{Cite web|title=Ghana - MSN Encarta<!-- Bot generated title -->|url=http://encarta.msn.com/encyclopedia_761570799_5/Ghana.html|work=|archiveurl=http://www.webcitation.org/5kwpvAZNH|archivedate=2009-10-31|deadurl=yes}}</ref>
 
Sera za kiuchumi zisizofaa za serikali za kijeshi zilizopita na masharti ya vikosi vya kulinda usalama katika maeneo ya kanda vimechangia mfumuko katika fedha za nakisi, kushuka thamani kwa Sidi, na kuongezeka kwa kutoridhika kwa umma katika maswala ya hatua za kupunguza ugumu wa maisha. Hata hivyo, Ghana inabakia kuwa mojawapo baina ya nchi za Afrika nzima ambazo zina ustawi wa kiuchumi.