Puerto Rico : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 124 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1183 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 12:
government_type = [[demokrasia]] |
leader_titles = [[Gavana]] |
leader_names = [[
established_events =
established_dates =
area = 9,104|
areami²= 3,
area_rank=ya 169|
area_magnitude=1 E9|
percent_water=1.6|
population_estimate =3,
population_estimate_year=Julai
population_estimate_rank=ya
population_density =
population_densitymi² = 1,
population_density_rank=ya
population_census = 3,913,054 |
population_census_year=2005|
Mstari 47:
}}
[[Picha:Rico.png|thumb|left|300px|Ramani ya Puerto Rico]]
''' Puerto Rico'''
Iko upande wa [[mashariki]] Jina la Puerto Rico kwa [[Kihispania]] humaanisha "bandari tajiri".
Ilikuwa koloni la [[Hispania]] mpaka ilipovamiwa na Marekani tarehe [[25 Julai]] [[1898]], wakati wa [[Vita ya Marekani dhidi Hispania]] na kutawaliwa kama [[koloni]] hadi mwaka [[1917]] ambako watu wa Puerto Rico walipewa [[uraia]] wa Marekani na kiwango cha [[utawala]]
Tangu mwaka [[1948]] [[gavana]] amechaguliwa na
[[Funguvisiwa]] ya Puerto Rico inajumuisha [[kisiwa]] kikuu cha Puerto Rico pamoja na visiwa na funguvisiwa vidogo kama vile [[Mona (
Puerto Rico si jimbo kamili la Marekani bali nchi inayojitawala katika mambo ya ndani ilhali [[siasa]] ya nje na mambo ya [[uchumi]] hutawaliwa na Marekani.
Wakazi ni raia wa Marekani lakini hawashiriki katika [[uchaguzi]] wa rais. Kuna mwakilishi wa Puerto Rico katika [[bunge]] la [[Washington]] lakini hapigi [[kura]].
Watu wa Puerto Rico humchagua [[Gavana]] na wabunge wao.
Katika kura za miaka [[1967]] na [[1993]] walikataa
==Watu==
Idadi ya wakazi imeanza kupungua na kuzeeka.
Wakazi wanajitambulisha hasa kama [[Wazungu]] (75.8%), halafu [[Waafrika]] (12.4%) kwa asili, lakini vipimo vinaonyesha kuwa Wazungu wamechangia 64% na Waafrika 25%, wakati [[Waindio]] wamechangia 11% ya [[DNA]] ya wakazi wa sasa.
[[Lugha rasmi]] ni kwanza [[Kihispania]] (inayozungumzwa kawaida na 95% za wananchi), halafu [[Kiingereza]].
Upande wa [[dini]], walio wengi ni [[Wakristo]], hasa [[Wakatoliki]] (56%) na [[Waprotestanti]] (33%).
{{Amerika Kaskazini}}
{{mbegu-jio-Karibi}}
{{mbegu-jio-USA}}
|