Mawasiliano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11024 (translate me)
Mstari 35:
[[Hakuna mgawanyo dhahiri]] kati ya lugha na [[lahaja,]] lakini mwanaisimu [[Weinreich Max]] anatambuliwa kwa kusema [[kuwa "lugha ni lahaja iliyo na jeshi la nchi kavu na la majini ".]] [[Lugha za kuundwa]] kama vile [[Kiesperanto, lugha za tarakilishi]], na maumbo mbalimbali ya hisabati haziko chini ya sifa bainifu zinazohusisha lugha za binadamu.
 
=== Mawasiliano kwa Ishara[[Mawasiliano kwa ishara]] ni mchakato wa kuwasiliana kwa njia ya kutuma na kupokea [[ujumbe]] usiohusisha maneno. Ujumbe kama huo unaweza kuwasilishwa kupitia [[ishara za uso au mikono, miondoko ya kimwili]] au [[jinsi ya kukaa; ishara ya uso na]] kutazamana machoni [[, mawasiliano kwa vitu kama vile mavazi uliyovalia,, jinsi ulivyotengeza nywele, au hata kwa michoro, pia kupitia jumla ya njia zilizoandikwa hapo juu, kama vile mawasiliano kupitia kwa tabia.|, mawasiliano kwa vitu kama vile [[mavazi uliyovalia,]], [[jinsi ulivyotengeza nywele,]] au hata kwa [[michoro,]] pia kupitia jumla ya njia zilizoandikwa hapo juu, kama vile [[mawasiliano kupitia kwa tabia.]]]] Mawasiliano kwa ishara huwa na jukumu muhimu katika maisha ya kila siku ya kila mtu, iwe ni katika uhusiano wa kiajira hadi wa kimapenzi. ===
=== Mawasiliano kwa Ishara ===
[[Mawasiliano kwa ishara]] ni mchakato wa kuwasiliana kwa njia ya kutuma na kupokea [[ujumbe]] usiohusisha maneno. Ujumbe kama huo unaweza kuwasilishwa kupitia [[ishara za uso au mikono, miondoko ya kimwili]] au [[jinsi ya kukaa; ishara ya uso na]] kutazamana machoni [[, mawasiliano kwa vitu kama vile mavazi uliyovalia,, jinsi ulivyotengeza nywele, au hata kwa michoro, pia kupitia jumla ya njia zilizoandikwa hapo juu, kama vile mawasiliano kupitia kwa tabia.|, mawasiliano kwa vitu kama vile [[mavazi uliyovalia,]], [[jinsi ulivyotengeza nywele,]] au hata kwa [[michoro,]] pia kupitia jumla ya njia zilizoandikwa hapo juu, kama vile [[mawasiliano kupitia kwa tabia.]]]] Mawasiliano kwa ishara huwa na jukumu muhimu katika maisha ya kila siku ya kila mtu, iwe ni katika uhusiano wa kiajira hadi wa kimapenzi.
 
 
Mazungumzo pia huwa na vipengele vya mawasiliano kwa ishara yanayojulikana kama [['paralanguage' au 'viziada-lugha',]] ambayo huhusisha ubora wa sauti, hisia na mitindo ya kuzungumza, ikiwa pamoja na sifa za kiarudhi kama vile [[mdundo, lafudhi]] na [[msisitizo.]] Aidha, matini zilizoandikwa zina vipengele vya mawasiliano kwa ishara kama vile mtindo wa kuandika, mpangilio wa maneno, au matumizi ya [[hisia.]] Neno lililounganisha maneno ya Kiingereza ya hisia (au emote) na ikoni (icon), kihisishi (an emoticon) ni ishara au muungano wa ishara zinazotumiwa kupitisha hisia katika maandishi.