Kenda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 109 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q19108 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Evo9glyph.svg|x50px|thumb|right|Mabadiliko katika kuandika tisa.]]
'''Kenda''' ni [[Kiswahili]] asilia kwa namba 9. Neno hili ni la asili ya Kibantu. Siku hizi neno "[[tisa]]" ambalo ni neno leye asili ya [[Kiarabu]] hutumiwa zaidi kutaja namba 9.
'''Kenda''' ni [[Kiswahili]] asilia kwa namba 9. Neno hili ni la asili ya [[Kibantu]].
 
'''Kenda''' ni [[Kiswahili]] asilia kwa namba 9. Neno hili ni la asili ya Kibantu. Siku hizi neno "[[tisa]]" ambalo ni neno leye asili ya [[Kiarabu]] hutumiwa zaidi kutaja namba 9, pamoja na [[tisini]] (tisa mara [[kumi]]).
Kamusi za mwanzo na katikati ya karne ya 20 kama [[M-J SSE]] zinasema ya kwamba "kenda" iliwahi kutumiwa sawa na "tisa".
 
[[Kamusi]] za mwanzo na katikati ya [[karne ya 20]] kama [[M-J SSE]] zinasema ya kwamba "kenda" iliwahi kutumiwa sawa na "tisa".
 
Siku hizi matumizi yake imepungua sana.
 
Mfano wa matumizi yake ni katika jina [[Mijikenda]] linalotaja kundi la makabilama[[kabila]] au koo 9 za [[Kenya]].
 
==Marejeo==
*Cecil Balmond, "Number 9, the search for the sigma code" 1998, Prestel 2008, ISBN 3-7913-1933-7, ISBN 978-3-7913-1933-9
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Namba]]