Vita Kuu ya Pili ya Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
tarehe
dNo edit summary
Mstari 5:
 
== Mwanzo wa vita ==
Vita hii ilianza huko '''[[Ulaya]]''' tar.tarehe [[1 Septemba]] 1939 kwa mashambulizi ya Wajerumani dhidi [[Poland]]. Wengine huhesabu mashambulizi ya '''[[Japani]] dhidi [[Uchina]]''' tar.tarehe 07.07.[[7 Julia]] 1937 kuwa mwanzo wa vita. Mwisho wake ulikuwa huko [[Ulaya]] tar.tarehe [[9 Mei]] 1945 halafu huko [[Asia]] tar.tarehe [[2 Septemba]] 1945.
== Vita katika Ulaya ==
Mstari 31:
== Mwisho wa vita ==
 
[[1945]] iliona mwisho wa vita. Mataifa mengi yaliyokuwa mbali kama [[Argentina]], [[Peru]] au [[Mongolia]] yalitangaza pia hali ya vita dhidi Ujerumani na Japani. Pia nchi zilizowahi kushikamana na Wajerumani waligeukia mataifa ya ushirikoano. Ujerumani penyewe ilivamiwa kutoka Magharibi na Mashariki. Warusi walifika mji mkuu wa [[Berlin]] na Adolf Hitler alijiua tar.tarehe [[30 Aprili]] 1945; wanajeshi wake walitia sahihi mkataba wa kusalimu amri tar.tarehe [[8 Mei|8-9 Mei]] 1945.
 
[[Picha:Nagasakibomb.jpg|thumb|right|200px|Wingu la kinyuklia juu ya Nagasaki tar.tarehe 9 Agosti 1945]]
Huko Asia Japani iliendelea kupigana na Waamerika walioweza kufikisha ndege zao zilizobeba mabomu hadi Japoni penyewe. Agosti 1945 Waamerika walitumia silaha mbili za kinyuklia walizokuwa nazo wakati ule na kuua watu wengi sana huko [[Hiroshima]] tar.tarehe [[6 Agosti]] na [[Nagasaki]] tar.tarehe [[9 Agosti]] 1945. Siku zilezile Warusi walianza kuwashambulia wanajeshi Wajapani huko Uchina. Haya yote yalisababisha serikali ya Japani kukubali wameshindwa wakatia sahihi mkataba wa kusalimu amri tar.tarehe [[2 Septemba]] 1945.
 
== Wafu wa vita ==