Vita Kuu ya Pili ya Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
-
Mstari 2:
 
== Vita Kuu ya Dunia ==
Jina limepatikana kutokana na vita ya miaka [[1914]] - [[1918]] iliyoona mapambano kati ya Ujerumani na wenzake dhidi ya nchi nyingi. Vita ya 1914/1918 iliitwa "Vita Kuu ya Dunia" kwa sababu mapigano yalienea pande nyingi za dunia yote tofauti na vita zilizotangulia. Kwa namna fulani vita iliyoanza [[1939]] ilikuwa marudio ya vita iliyotangulia. Hivyo imekuwa kawaida kuzitaja vita hizi kama [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia|Vita Kuu ya Kwanza]] na ya Pili ya Dunia.
 
== Mwanzo wa vita ==
Mstari 38:
== Wafu wa vita ==
Kwa jumla takriban watu millioni 60 walikufa kutokana na vita hivi. Makadirio hutaja wanajeshi millioni 25 na watu raia millioni 35.
Taifa lililopotea watu wengi ni Urusi walipokufa kati ya millioni 20 - 28, idadi kubwa watu raia.
 
Takriban watu millioni 10 waliuawa na Wajerumani au walikufa kutokana na kutendewa vibaya nje ya mapigano kama vile millioni 6 za [[Wayahudi]], wengine Wapoland, Warusi, [[Wasinti]], walemavu n.k..