Namba tasa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Namba tasa''' ni [[namba asilia]] isiyogawiwa kwa [[namba]] nyingine isipokuwa kwa [[moja|1]] na kwa namba yenyewe. Kwa [[Kiingereza]] zaitwa "prime numbers".
 
Mfano:
Mstari 7:
Idadi ya namba tasa haina mwisho na thelathini za kwanza ni 2, 3, 5, 7, 11, 13, 17, 19, 23, 29, 31, 37, 41, 43, 47, 53, 59, 61, 67, 71, 73, 79, 83, 89, 97, 101, 103, 107, 109, 113.
 
1 haihesabiwi kama namba tasa kwa sababu inagawiwa kwa 1 tu hakuna namba ya pili. [[sifuri|0]] si namba tasa kwa sababu hairuhusiwi kugawa kwa 0.
 
Namba zote nyingine zisizo namba tasa huitwa [[namba kivunge]] na zinaweza kupatikana kwa kuzidisha namba asilia mbili.
[[Picha:Sieve_of_Eratosthenes_animation.gif|thumb|300px|[[Kichujio]] cha [[Erastothenes]].]]
 
== Kichujio cha Eratosthenes ==
[[Mbinu]] mwepesinyepesi waya kugundua namba tasa ndogo ni [[Kichujio cha Eratosthenes]]. Ilibuniwa na [[mwanahisabati]] na [[mwanafalsafa]] [[Eratosthenes]] aliyeishi zamani za [[Ugiriki ya Kale]].
 
* andika namba asilia zote kwenye [[karatasi]] kuanzia 2 hadi namba unayotaka kuifanyia [[utafiti]] kama ni namba tasa au la. Usiandike 1 kwa sababu iliyotajwa juu.
 
# anza kwa 2.
# futa vizidisho vyote vya namba tasa unazojuaunazozijua au kugunduakuzigundua.
# anza na 2 na vizidisho vyake kama 4,6,8,10 na kadhalika.
# endelea kwa kufuta 3 (namba tasa inayofuata) na vizidisho vyake kama 6,9,12 na kadhalika.
# sasa unarudia kuangalia [[chanzo]] cha [[orodha]]. Namba inayofuata isiyofutwa ni namba tasa tena. Katika mfano huu utakuwa ni 5. Endelea kufuta vizidisho vyake.
# Kwa njia hii unarudia kuangalia orodha upya na kugundua namba tasa zote zilizomo.
 
 
== Matumizi ==
KunamatumiziKun amatumizi ya namba tasa katika maisha ya kila siku kwenye [[namba za siri]] za akdi[[kadi za benki]] au [[kadi za simu]] pia kwenye [[simu za mkononi]]. Nuymba ya namba ya siri mara nyingi ni zidisho la namba tasa mbili kubwa. Ni rahisi ykuzidishakuzidisha namba tasa mbili lakini ni kazi kubwa mno kugundua zao ilikuwa tokeo la namba zipi.
 
{{Lango|Hisabati}}
Mstari 32:
 
[[Jamii:Hisabati]]
[[Jamii:Namba]]