Sifuri halisi : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
d Bot: Migrating 62 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q81182 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:Thermally Agitated Molecule.gif|thumb|right|400px|Mfano wa mwendo wa atomi ndani ya molekuli ya proteini
[[Image:Translational motion.gif|thumb|right|400px|Mfano wa mwendo wa atomi ndani ya gesi (kama hewani). Mkasi wa mwendo unategemea nishati mwendo wa atomi hizi; katika hewa joto zina mbio mkubwa na katika hewa baridi zina mwendo wa polepole zaidi hadi kufikia kiwango cha [[sifuri halisi]] ambako zinakaa kimya bila mwendo.]]
'''Sifuri halisi'''
Ni sawa na [[vizio]] −273.15° kwenye [[skeli]] ya [[selsiasi]] au vizio 0° kwenye skeli ya [[kelvini]].▼
Kwenye kiwango cha sifuri halisi hakuna [[mwendo]] wa [[mada]] au [[molekuli]] tena. Sababu yake ni ya kwamba halijoto yenyewe kifizikia ni uso mwingine wa mwendo wa mada yaani mwendo wa molekuli na [[atomi]]. ▼
▲'''Sifuri halisi''' kazika [[fizikia]] ni kiwango cha [[halijoto]] ya duni kabisa inayowezekana.
Katika hali ya kawaida molekuli za [[hewa]] au za [[kiowevu]] huwa na mwendo; pia molekuli za [[gimba]] [[mango]] huwa na mwendo fulani kama
▲Ni sawa na vizio −273.15° kwenye skeli ya [[selsiasi]] au vizio 0° kwenye skeli ya [[kelvini]].
Hali hii inasababisha kutokea kwa mambo yasiyo kawaida. Kwa mfano [[uwezo]] wa [[metali]] wa kupitisha [[umeme]] unaongezeka sana kadiri
▲Kwenye kiwango cha sifuri halisi hakuna mwendo wa mada au molekuli tena. Sababu yake ni ya kwamba halijoto yenyewe kifizikia ni uso mwingine wa mwendo wa mada yaani mwendo wa molekuli na atomi.
Hali halisi haiwezekani kukuta mada kwenye hali ya sifuri halisi kabisa lakini katika [[maabara]] imewezekana kuikaribia sana. ▼
▲Katika hali ya kawaida molekuli za hewa au za kiowevu huwa na mwendo; pia molekuli za gimba mango huwa na mwendo fulani kama kitisiko. Kama mwendo = halijoto inaongezeka tunaona badiliko la gimba mango kuwa kiowevu au gesi. Kinyume chake tunaona jinsi gani [[maji]] "baridi" huwa [[barafu]] imara maana yake mwendo wa molekuli za H<sub>2</sub>0 imepungua . Pasipo na mwendo tena hakuna joto wala halijoto na hali hii huitwa "sifuri halisi".
▲Hali hii inasababisha kutokea kwa mambo yasiyo kawaida. Kwa mfano uwezo wa [[metali]] wa kupitisha umeme unaongezeka sana kadiri jinsi metali inavyokaribia sifuri halisi.
▲Hali halisi haiwezekani kukuta mada kwenye hali ya sifuri halisi kabisa lakini katika maabara imewezekana kuikaribia sana.
{{mgegu-sayansi}}
[[Jamii:Vipimo]]
[[Jamii:Fizikia]]
|