Namba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
sahihisho witiri
Mstari 8:
* [[namba kamili]] (integer) zinazojumlisha namba asilia, sifuri na namba hasi. Namba hizi huandkiwa kirahisi kwa kutumia [[tarakimu]] (numerali) yaani alama zinazoweza kuonyesha namba.
* [[namba wiano]] yaani kila namba inayoweza kuandikwa kwa umbo la sehemu kama vile <math>\tfrac{1}{2}</math> , <math>\tfrac{1}{3}</math> , <math>\tfrac{1}{10}</math> , <math>\tfrac{1}{25}</math> na kadhalika.
* [[namba zisizowiani]] (namba witiri) zisizolingana na sehemu, kwa mfano namba ya duara '''π''' ([[Pi (namba)|Pi]]) ambayo haiwezi kuandikwa kikamilifu kwa kutumia tarakimu.