Namba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Utaalamu unaoshughulika habari za namba ni hasa [[hisabati]] pamoja na matumizi yote yake katika fani kama vile uhandisi, uchumi, takwimu na sayansi mbalimbali. Hisabati inatumia dhana ya "namba" kwa upana mkubwa hata nje ya namba asilia. Hisabati inajua
* [[namba asilia]] kama 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10.
**Humo tunatofautisha [[namba shufwa]] na [[namba witiri]], [[namba kivunge]] na [[namba tasa]] .
* '''0''' yaani [[sifuri]]
* [[namba hasi]] -1, -2, -3 ....