Usawa (hisabati) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Usawa''' (ing. ''parity'') kwa maana ya hisabati inamaanisha ya kwamba kila namba kamili (integer) iko katika moja ya kundi mbili: '''namba shufwa'''...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Usawa''' ([[ing.]] ''parity'') kwa maana ya hisabati inamaanisha ya kwamba kila [[namba kamili]] (''integer'') iko katika moja ya kundi mbili: '''namba shufwa''' au '''namba witiri'''. Kwa hiyo jumla la namba kamili hugawiwa kwa kundi mbili zenye idadi sawa za namba. Kwa mfano kuanzia mmoja hadi kumi namba shufwa na witiri zinabadilishana na zinaendelea mfululizo vile bila mwisho:
1, '''2,''' 3, '''4,''' 5, '''6,''' 7, '''8''', 9, '''10'''