Wikipedia:Mwongozo (Kumbuka) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nukuu
No edit summary
Mstari 58:
 
# Usinakili yaliyomo ya makala na kuiweka kwa makala mpya yenye jina nyingine!! Hii ni kosa kubwa. Hasa kwa sababu inafuta historia ya makala na viungo vilivyopo tayari.
# Unaweza kuhamisha makala kwenda jina jipya baada ya kutafuta majadiliano na wengine. Jaribu kupatana na wahariri wengine kwanza. Kwa hiyo unaandika hoja lako kwenye ukurasa wa majadiliano. Usisahau kutaja kifupi pendekezo lako kwenye mstari wa "muhtasari" (chini ya dirisha la kuhariri). Na angalia kwenye historia ya makala ni nani mhariri aliyetunga makala, unaweza kuchungulia kama yuko bado na kumwomba asome pendekezo lako.
 
Baadaye unaweza kuhamisha makala kwenda jina jipya kama umejiandikisha sawasawa. Heri usihamishe kurasa za "maana".
<sup>(Linganisha en: [http://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:How_to_rename_(move)_a_page How to rename (move) a page].</sup>
#Wakati mwingine njia ianyofaainayofaa ni kuanzioshakuanzisha ukurasa wa kuelekeza. Hapa unafungua ukurasa mpya kwa jina unalofikiri ni sawa au afadhali na ndaindani yake unaweka tu kielekezo. Mfano: Unakuta ukurasa wa nchi "[[Cote d'Ivoire]]"; unafikiri afadhali iwe "Aivori Kost" maana umeona umbo hili la jina. Basi unanzisha makala ya "Aivori Kost", na ndani yake unaandika tu
:<nowiki>#REDIRECT [[</nowiki>''InsertCote textd'Ivoire''<nowiki>]]</nowiki>
:(unaweza pia kubofya alama ya [[PichaFile:Wikipedia-menyu-kielekezoKielekezo alama.png]] na kuingiza jina la ukurasa husika uliopo tayari , katika mfano "Cote d'Ivoire". Kila anayetafuta "Aivori Kost" atafika "Cote d'Ivoire")
 
[[Jamii:Mwongozo wa Wikipedia|*]]