Mathias E. Mnyampala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Vitabu vichache vya Mathias E. Mnyampala: Anwani ya kusoma vipande vya kitabu hicho katika Google Books TZ
Nimeweka picha ya Mathias E. Mnyampala
Mstari 1:
[[File:Mathias E. Mnyampala.jpg|thumb|Mathias E. Mnyampala (1917-1969) was a Tanzanian lawyer, political activist, essayist, writer, historian and famous poet in Kiswahili language.]][[Mathias E. Mnyampala]] alizaliwa 18 Novemba 1917 katika kitongoji cha Muntundya Ihumwa katika Wilaya ya Chamwino, mkoani [[Dodoma]]. Alifariki dunia mjini Dodoma tarehe 8 Juni 1969. Alikuwa mwanasheria, mzalendo wa Taifa la Tanzania na lugha yake [[Kiswahili]], mwandishi na mshairi maarufu.
 
Kufuatana na maoni ya Profesa Madumulla, Mathias E. Mnyampala sasa hivi nchini Tanzania ni ''Jabali Lililosahaulika''. Utafiti wa Vyuo Vikuu vya [[Tanzania]] na ng'ambo, hasa [[Ufaransa]], haukukaa kimya kuhusu kazi yake upande wa Ushairi wa Kiswahili na Historia ya Wagogo wa Tanganyika. Lakini bado matokeo yake yanahitaji kuenezwa.