Sekunde : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Xerq*6
d Masahihisho aliyefanya 177.97.27.175 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kipala
Mstari 1:
DqlRlhs312383]×$Rgwgwe-y{{Viambishi awali vya vipyimovipimo sanifu}}
'''Sekunde''' (alama: '''s'''; pia: '''nukta, sekundi, sekondi'''|cmtzcgozSzyjnogrei) ni kipimo cha [[wakati]] na kati ya vipimo vya kimsingi wa [[SI]].9934vieg3>&667;668964
 
Kiasili ilihesabiwa kama sehemu ya 60 ya [[dakika]] moja lakini kisayauSwtutyvpd+nsikisayansi inapimwa sasa kulingana na mwendo wa mnurulisho wa atomi za [[sizi]] -133.
 
Sekunde sitini (60) ni dakika moja, na sekunde elfu tatu na mia sita (3,600) ni [[saa]] moja.
 
Kisasili siku ilyigawiwailigawiwa kwa masaa, masaa kwa dakika na dakika kwa sekundi. Imeonekana ya kwamba hesabu hii haitoshi kwa matumizi ya kisayansi kwa sababu muda wa siku si sawa kamili kutokana na mwendo wa [[dunia]] yetu. Hivyo kipimo kamili cha sekunde ilitafutwa kinachopimika katika [[fizikia]] na sasa muda wa vipimo vingine vya wakati inahesabiwa kwenye msingi wa sekunde siyo kinyume. Tokeo mojawapo ni ya kwamba siku hailingani tena kamili na masaa 24.
 
Kwa vipimo vya kisayansi ni muhimu kutaja sehemu za sekunde na hapa [[viambishi awali vya vipimo sanifu]] hutumiwa: milisekunde, nanosekunde, femtosekunde. Viambish awali kwa uwingi wa sekunde si kawaida.
Mstari 14:
[[Jamii:Wakati]]
[[Jamii:Vipimo vya wakati]]
cqutsdiwuynT