Mawasiliano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 941392 lililoandikwa na 41.89.10.241 (Majadiliano)
Mstari 20:
Kwa hiyo mawasiliano ni njia inayotumiwa katika kutoa na kufikisha [[maana]] katika [[jaribio]] la kusababisha [[ufahamu]] wa jumla. [[Utaratibu]] huu unahitaji mkusanyiko mkubwa wa ujuzi wa mawasiliano miongoni mwa na baina ya watu, kusikiliza, kutazama, kuongea, kuhoji, kuchambua, na kutathmini. Ni kupitia kwa mawasiliano ambapo [[ushirikiano]] hutokea. <ref>{{cite web|title=communication|work=office of superintendent of Public instruction|location=Washington|url=http://www.k12.wa.us/CurriculumInstruct/Communications/default.aspx |accessdate=14 Machi 2008 | dateformat=mdy}}</ref>.....
 
Pia kuna vi[[kwazo]] vingi vya kawaida katika mawasiliano. Viwili kati ya vikwazo hivyo vikiwa '''kupasha ujumbe kupita kiasi''' (mtu anapopokea ujumbe mwingi mno kwa wakati mmoja), na '''ujumbe changamano.''' <ref> Montana, Patrick J. &amp; Charnov, Bruce H. 2008. Management. 4th ed. New York. Barron's Educational Series, Inc PG 333.</ref>
Mawasiliano ni mchakato unaoendelea.
 
== Aina za mawasiliano ==