Nuru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Cloud in the sunlight.jpg|300px|thumbnail|Nuru ya jua linaangaza wingu angani]]
'''Nuru''' ([[ar.]] نور ''nur; pia'' '''mwanga''') ni neno la kutaja [[mnururisho]] inayoweza kutambuliwa kwa [[macho]] yetu. Kwa lugha ya fizikia ni sehemu ya [[mawimbi ya sumakuumeme]] yanayoweza kutambuliwa na jicho. Mawimbi ya nuru huwa na masafa ya [[nanomita]] 380 hadi 780 au yenye marudio ya takriban [[terahezi]] 789 hadi 384.
 
Chanzo cha nuru duniani ni hasa [[jua]]. Nuru ya jua inaleta pia [[nishati]] inayotumiwa na [[mimea]] ambayo kwa njia ya [[usanisinuru]] inajenga ndani yao [[sukari]] au [[mwanga]] ambazo ni lishe za viumbehai vyote vinavyozikula. Hivyo nuru ya jua kwa njia ya usanisinuru ni chanzo cha nichati kwa karibu viumbehai vyote duniani.
Nuru inayoonekana ni sehemu ndogo tu ya [[spektra]] ya sumakuumeme. Wanyama wanaweza kuona mawimbi marefu zaidi yaani [[infraredi]] au mafupi zaidi yaani [[urujuanimno]].
 
Chanzo kingine cha nuru kwa binadamu ni [[moto]]. Lakini hadi karne ya 19 nuru hii ilitumia pia nishati ya jua iliyotunzwa na mimea kwa njia ya [[kuni]], [[mafuta ya petroliamu]] au [[gesi asilia]]. Ni tangu kugunduliwa kwa [[umeme]] tu ya kwamba chanzo tofauti ya nuru imepatikana.
 
==Nuru kama mnururisho==
Nuru inayoonekana kwetu ni sehemu ya mnururisho wa sumakuumeme. Nuru inayoonekana ni sehemu ndogo tu ya [[spektra]] ya sumakuumeme. Wanyama wanaweza kuona mawimbi marefu zaidi yaani [[infraredi]] au mafupi zaidi yaani [[urujuanimno]]. Aina nyingine za mnururisho huohuo ni kwa mfano [[joto]], [[eksirei]], [[microwave]], [[mawimbi ya redio]] ambazo zinatofautiana na nuru kwa [[idadi ya marudio]] yao na hazitambuliwi kwa macho au [[milango ya fahamu]], isipokuwa joto linalotambuliwa na [[ngozi]] yetu.
 
==Tabia za nuru==
Kati ya tabia za nuru zinazoweza kutofautishwa ni ukali wake, mwelekeo wake, marudio yake. [[Kasi ya nuru]] haibadiliki ni daima mita 299,792,458 kwa nukta katika [[ombwe]].
 
Rangi ya nuru inategemea na marudio yake.
 
== Marejeo ==