Nuru : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Cloud in the sunlight.jpg|300px|thumbnail|Nuru ya jua linaangaza wingu angani]]
'''Nuru''' (kutoka [[
Ma[[wimbi]] ya nuru huwa na masafa ya [[nanomita]] 380 hadi 780 au yenye marudio ya takriban [[terahezi]] 789 hadi 384.
Chanzo
Chanzo kingine cha nuru kwa [[binadamu]] ni [[moto]]. Lakini hadi [[karne ya 19]] nuru hii ilitumia pia nishati ya jua iliyotunzwa na mimea kwa njia ya [[kuni]], [[mafuta ya petroliamu]] au [[gesi asilia]]. Ni tangu kugunduliwa kwa [[umeme]] tu ya kwamba chanzo tofauti cha nuru kimepatikana.
==Nuru kama mnururisho==
Nuru inayoonekana kwetu ni sehemu ya mnururisho wa sumakuumeme. Nuru inayoonekana ni sehemu ndogo tu ya [[spektra]] ya sumakuumeme.
[[Wanyama]] wanaweza kuona mawimbi marefu zaidi, yaani [[infraredi]], au mafupi zaidi, yaani [[urujuanimno]]. Aina nyingine za mnururisho huohuo ni kwa mfano [[joto]], [[eksirei]], [[microwave]], [[mawimbi ya redio]] ambazo zinatofautiana na nuru kwa [[idadi ya marudio]] ==Tabia za nuru==
Kati ya [[tabia]] za nuru zinazoweza kutofautishwa ni [[ukali]] wake, [[mwelekeo]] wake, marudio yake
[[Kasi ya nuru]] haibadiliki: ni daima [[mita]] 299,792,458 kwa [[nukta]] katika [[ombwe]].
Rangi ya nuru inategemea na marudio yake. ▼
== Marejeo ==
{{reflist}}
== Viungo vya
{{commons|Light}}
{{wiktionary}}
* [http://www.britannica.com/EBchecked/topic/340440/light Light in Encyclopeia Britannica]
* [http://www.physics4kids.com/files/light_intro.html Ligt in Physics for kids]
* [http://www.physicsclassroom.com/class/light Light Waves and Color in physicsclassroom]
* [http://science.howstuffworks.com/light.htm How light works]
{{mbegu-sayansi}}
[[Category:Fizikia| ]]
|