Nuru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
 
Chanzo kingine cha nuru kwa [[binadamu]] ni [[moto]]. Lakini hadi [[karne ya 19]] nuru hii ilitumia pia nishati ya jua iliyotunzwa na mimea kwa njia ya [[kuni]], [[mafuta ya petroliamu]] au [[gesi asilia]]. Ni tangu kugunduliwa kwa [[umeme]] tu ya kwamba chanzo tofauti cha nuru kimepatikana.
[[File:Nuru katika spektra.jpg|thumb|Nuru inayoonekana kwa macho ni sehemu tu ya mnururisho wa sumakuumeme. Mawimbi ya nuru ni sehemu ya mawimbi mengine ya sumakuumeme]]
 
==Nuru kama mnururisho ==
Nuru inayoonekana kwetu ni sehemu ya mnururisho wa sumakuumeme. Nuru inayoonekana ni sehemu ndogo tu ya [[spektra]] ya sumakuumeme.