Mnururisho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Mnururisho''' ([[ing.]] ''radiation'') ni uenezaji wa [[nishati]] kwa njia ya vyembe vidogo sana au kwa njia ya mawimbi. Mnururisho huwa na chanzo, mwelekeo usionyoka na kasi.
 
Mifano ya mnururisho inayoonekana au kusikika kirahisi ni [[nuru]] na [[joto]]. Binadamu ana [[milango ya fahamu]] kwa ajili mnururshomnurirsho huo kama vile [[macho]] kwa nuru na [[neva]] kenye [[ngozi]] kwa joto. Mifano ya mnururisho isiyoonekana ni mnururisho wa [[sumakuumeme]] katika [[redio]] na [[TV]], [[eksirei]] au kinyuklia. Kuna viumbe vyenye milango ya fahamu kwa minururisho mingine, kwa mfano samaki au ndege zinazotambua uga za umeme au [[sumaku]]. [[Nyuki]] huona [[infraredi]] isiyoonekana kwa macho ya kibinadamu.
 
== Tabia za mnururisho ==
Mstari 13:
Kuna aina nyingi za mnururisho au njia za uenezaji wa nishati.
 
* '''Mawimbi ya redio''': ni mnurusishomnururisho mwenye [[lukoka]] kubwa([[ing.]] ''wavelength'') ndefu. Hutumiwa kwa [[redio]], [[TV]] na ishara za mawasiliano.
 
* '''[[Mikrowevu]]''': ni aina ya pekee ya mawimbi ya redio yenye lukoka ndogo zaidi; hutumiwa kwa mawasiliano ya simu, kama silaha, kwa uhamisho wa umeme kati ya mahali na pahali halafu katika maihsa ya kila siku ndani ya jiko la püekee la kupashia joto vyakula.