Nuru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 10:
==Nuru kama mnururisho ==
Nuru inayoonekana kwetu ni sehemu ya mnururisho wa sumakuumeme. Nuru inayoonekana ni sehemu ndogo tu ya [[spektra]] ya sumakuumeme.
[[File:Nuru katika spektra 1.jpg|thumb|400px|''<small>Nuru inayoonekana kwa macho ni sehemu tu ya mnururisho wa sumakuumeme. Mawimbi ya nuru ni sehemu ya mawimbi mengine ya sumakuumeme</small>'']]
 
[[Wanyama]] wanaweza kuona mawimbi marefu zaidi, yaani [[infraredi]], au mafupi zaidi, yaani [[urujuanimno]].