Kani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Kipala alihamisha ukurasa wa Kani hadi Kani (maana)
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Force examples.svg|300px|thumbnail|Kani huelezwa pia kama nguvu ya kuvuta au kusukuma gimba lolote; mifano ya chanzo cha kani ni graviti au usumaku ]]
#REDIRECT [[Kani (maana)]]
'''Kani''' ([[ing.]] ''force'') ni athira ya nje inayoweza kubadilisha hali ya utulivu au mwendo kwenye gimba. Hupimwa kwa [[nyutoni]].<ref>KAST 1995, uk. 105</ref>
 
Kani huwa na tabia za kiwango (ukubwa) na mwelekeo. Alama yake ni '''F'''
 
 
==Marejeo==
<references/>
 
[[Jamii:Fizikia]]