Kani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Kani huwa na tabia za kiwango (ukubwa) na mwelekeo. Alama yake ni '''F.'''
 
Dhana ya kani iliundwa na [[Isaac Newton]]. Alisema katika kanuni yake ya pili kuwa :<math>F = ma</math>.
Hapo <math>F</math> ni kani, <br />
<math>m</math> ni [[masi]] ya gimba, <br />
na <math>a</math> ni [[mchapuko]] wa gimba.
 
Fomula inasema ya kwamba kama kani iko juu ya gimba litakuwa na mwendo na mwendoo huu utaongezeka zaidi na zaidi.
 
Kama kani ni dhaifu na masi ya gimba ni kubwa itachukua muda mwingi hadi gimba liapata mchapuko mkubwa. Lakini kama kani ni kubwa na masi ya gimba ndogo litakimbia haraka karibuni sana.
 
 
==Marejeo==
<references />
 
==Viungo vya Nje==
* http://hyperphysics.phy-astr.gsu.edu/hbase/force.html
 
 
 
[[Jamii:Fizikia]]