Usawa (hisabati) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Usawa''' (kwa [[Kiingereza]] ''parity'') katika [[hisabati]] unamaanisha ya kwamba kila [[namba kamili]] (''integer'') iko katika moja ya ma[[kundi]] mawili: '''[[namba shufwa]]''' kama 2, 4, 6, 8
Kwa hiyo [[jumla]] ya namba kamili hugawiwa katika makundi mawili yenye idadi sawa za namba. Kwa mfano kuanzia [[moja]] hadi [[Kumi (namba)|kumi]] namba shufwa na witiri zinapokezana na zinaendelea [[mfululizo]] vile bila [[mwisho]]:
|