Malaika Gabrieli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Gabriel from Vysotsky chin (14c, Tretyakov gallery).jpg|thumb|right|[[Picha]] ya Gabrieli kwa mtindo wa [[Waorthodoksi|Kiorthodoksi]], [[1387]]–[[1395]] hivi ([[Tretyakov Gallery]]).]][[Image:Anton Raphael Mengs - Annunciation.jpg|thumb|right|215px|Mchoro wa [[Bikira Maria]] [[kupashwa habari]] na Gabrieli, kazi ya [[Anton Raphael Mengs]].]]
 
Katika [[dini]] zinazotaka kufuata [[imani]] ya [[Abrahamu]], '''Gabrieli''' (kwa [[Kiebrania]] גַּבְרִיאֵל|Gavri'el|Gaḇrîʼēl, ''Mungu ni nguvu yangu}}''; kwa [[Kiarabu]] جبريل, ''Jibrīl'' or جبرائيل ''Jibrāʾīl'') ni [[malaika]] aliyetumwa na [[Mungu]] kuleta ujumbe wa pekee.
 
Kwa sababu hiyo [[Wakatoliki]] wanamheshimu kama [[malaika mkuu]] pamoja na [[malaika Mikaeli]] na [[malaika Rafaeli]], hasa tarehe [[29 Septemba]].
Mstari 34:
 
[[Category:Malaika]]
[[Jamii:Uislamu]]