96,375
edits
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumbnail|Jiwe la Rosetta kutoka Misri ya Kale iko kati ya mifano ya kwanza ya tafsiri (ina matini ileile kwa lugha tatu) '''Tafsiri...') |
No edit summary |
||
[[Picha:Rosetta Stone.JPG|thumbnail|[[Jiwe la Rosetta]] kutoka [[Misri ya Kale]]
'''Tafsiri''' ni [[kazi]] ya kutoa maana ya [[maneno]] kutoka lugha moja kwenda [[lugha]] nyingine.
Mtu anayefanya kazi hii huitwa [[mfasiri]] au [[mkalimani]].
Hakuna tafsiri kamili kabisa. Kila mfasiri hana budi kuchagua.
* Akikaa karibu zaidi kwa matini ya lugha ya asili, tafsiri yake inaweza kukosa [[uzuri]] katika lugha ya kutafsiriwa. Pia anaweza kukosa maana ya maneno ya asili hasa kama yalitumia [[methali]] au [[lugha ya mifano]] na [[lugha ya picha]].
* Akielekea kutoa maana ya maneno asilia kwa [[umbo]]
==Viungo vya nje==
{{commonscat}}
{{mbegu-fasihi}}
[[Category:lugha]]▼
[[Jamii:Fasihi]]
|