Uandishi wa habari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Picha:Suleiman Kova and media, 2013 DSM Building Collapse.jpg|thumbnail|250px|Kamishna wa polisi Suleiman Kova anahojiwa na wanahabari baada ya poromoko la je...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Suleiman Kova and media, 2013 DSM Building Collapse.jpg|thumbnail|250px|[[Kamishna]] wa [[polisi]] [[Suleiman Kova]] anahojiwa na [[wanahabari]] baada ya [[poromoko]] la [[jengo]] mjinila [[ghorofa]] [[mji]]ni [[Dar es DaresalaamSalaam]], [[Tanzania]] [[mwaka]] [[2013]].]]
'''Uandishi wa habari''' (kwa [[ing.Kiingereza]] ''journalism'') ni [[kazi]] ya kukusanya, kupanga na kusambaza [[habari]] kwa wasomaji, wasikilizaji na watazamaji katika jamii. Usambazaji hutokea kupitia [[vyombo vya habarijamii]]. na [[media]] mbalimbali kama vile [[gazeti]], [[redio]], [[televisheni]] na [[intaneti]].
 
[[Usambazaji]] hutokea kupitia [[vyombo vya habari]] na [[media]] mbalimbali kama vile [[gazeti]], [[redio]], [[televisheni]] na [[intaneti]].
Katika jamii ya kisasa media ni njia kuu ya kushirikisha watu wengi na mambo yote yanayoathiri umma, jamii, siasa, uchumi na utamaduni wake.
 
Katika jamii ya kisasa media ni njia kuu ya kushirikisha watu wengi na mambo yote yanayoathiri [[umma]], jamii, [[siasa]], [[uchumi]] na [[utamaduni]] wake.
Penye mfumo wa kisiasa ya [[demokrasia]] upatikanaji wa habari huru, nyingi na tofauti ni muhimu sana kwa uwiano sawa kati ya washiriki katika siasa, uchumi na utamaduni. Kutokana na nafasi hii muhimu uandishi habari na media zinaitwa pia [[Mgawanyo wa madaraka|mhimili wa nne]] kati ya madaraka ya umma.
 
Penye mfumo wa kisiasa ya [[demokrasia]] upatikanaji wa [[habari huru]], nyingi na tofauti ni muhimu sana kwa [[uwiano]] sawa kati ya washiriki katika siasa, uchumi na utamaduni. Kutokana na nafasi hii muhimu uandishi habari na media zinaitwa pia [[Mgawanyo wa madaraka|mhimili wa nne]] kati ya madaraka ya umma.
Hapo maadili ya wanahabari ni muhimu wakifuata kanuni za kukusanya na kusambaza habari zinazoweza kuchunguliwa na kupimwa kulingana na hali halisi na kusahihishwa kama makosa yalitokea.
 
Kutokana na [[nafasi]] hii muhimu uandishi wa habari na media vinaitwa pia [[Mgawanyo wa madaraka|mhimili wa nne]] kati ya [[madaraka]] ya umma.
 
Hapo [[maadili]] ya wanahabari ni muhimu wakifuata [[kanuni]] za kukusanya na kusambaza habari zinazoweza kuchunguliwa na kupimwa kulingana na [[hali]] halisi na kusahihishwa kama makosama[[kosa]] yalitokea.
Kuja kwa intaneti kumeleta kipindi kipya cha uandishi na usambazaji wa habari ambako watu [[raia]] wana nafasi ya kutangaza habari na [[rai]] kwa watu wengi. Hapo si rahisi tena kutofautisha kati ya habari, maonima[[oni]] na [[uvumi]].
 
{{mbegu}}
 
[[jamiiJamii:Habari]]