Mwanaume : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 113 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q8441 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Michelangelos David.jpg|thumb|250px|[[Michelangelo]] alichonga katika [[marumaru]] [[sanamu]] ya [[Daudi (Biblia)|Daudi]] kama [[kielelezo]] wacha maumbile[[umbile]] yala mwanaumemwanamume.]]
'''Mwanaume''' (pia: '''mwanamume''') ni [[binadamu]] wa [[jinsia]] ya kiume. Kwa kawaida ni [[mtu mzima]] anayeitwa hivi, kwani wanaume wadogo huitwa watoto wa kiume tu au [[wavulana]].
 
Wanaume ni takriban nusu ya binadamu, wengine huwa [[wanawake]]. Wanaume na wanawake ni jinsia mbili ambazo zinahesabiwa kwa kawaida kati ya binadamu.
 
Kuna [[tabia]] za pekee katika maumbile ya [[mwili]]. Wanaume huwa na [[viungo vya uzazi]] vya kiume ambavyo ni pekee kama vile [[mboo]] (uume, dhahakari) na ma[[pumbu]] (korodani). Wakati wa kubalehe homoni ya testosteroni inaongezeka mwilini mwa mwanaume na kusababisha tabia kama sauti ya chini, kongezeka ya nywele mwilini (kwa mfano [[ndevu]]), kuongezeka kwa upana wa [[mabega]] na kiwango cha [[musuli]] mwilini kulingana na wanawake. Msingi wa tofauti hizi ni hasa [[chembeuzi]] kinachoitwa "Y" yaani wanaume wana jozi la vyembeuzi "X" na "Y" ndani ya seli zao lakini wanawake wana jozi la "X" mbili. Chemebuzi ya Y inabeba habari zote zinazomfanya mwanadamu kukua kama mwanaume badala ya mwanamke.
 
Wakati wa ku[[balehe]] [[homoni]] ya [[testosteroni]] inaongezeka mwilini mwa mwanaume na kusababisha tabia kama [[sauti]] ya chini, kongezeka ya [[nywele]] mwilini (kwa mfano [[ndevu]]), kuongezeka kwa [[upana]] wa [[mabega]] na [[kiwango]] cha [[musuli]] mwilini kulingana na wanawake.
 
Msingi wa tofauti hizo ni hasa [[chembeuzi]] kinachoitwa [[chembeuzi Y|"Y"]] yaani wanaume wana [[jozi]] la [[chembeuzi X|chembeuzi "X"]] na "Y" ndani ya [[seli]] zao zote, lakini wanawake wana jozi la "X" mbili. Chembeuzi Y inabeba habari zote zinazomfanya mwanadamu kukua kama mwanaume badala ya mwanamke.
Lakini si tofauti za mwilini pekee zinazosababisha wanaume kuwa tofauti na wanawake. Kuna pia tabia za kiakili na kiroho za pekee zinazoonekana kati ya wanaume wengi. Hata hivyo tofauti nyingi zinategemea pia utamaduni kwa sababu mara nyingi watu wamepanga shughuli na pia namna ya maisha tofauti kwa wanaume na wanawake na watu wamezoea kuchukua matokeo ya mapatano haya kama jambo la kimaumbile hata kama ni kiutamaduni tu.
 
Lakini si tofauti za mwilini pekee zinazosababisha wanaume kuwa tofauti na wanawake. Kuna pia tabia za ki[[akili]] na za ki[[roho]] za pekee zinazoonekana kati ya wanaume wengi.
Pamoja na hayo kuna wanaume wasio wachache sana wenye tabia zinazotazamiwa kuwa za kike kwa sababu miili yao huwa na viwango tofauti za homoni kama [[testosteroni]] na [[estrogeni]]. Kuna watu kadhaa wenye mwili wa kiume wanaojisikia kuwa wanawake.
 
Lakini si tofauti za mwilini pekee zinazosababisha wanaume kuwa tofauti na wanawake. Kuna pia tabia za kiakili na kiroho za pekee zinazoonekana kati ya wanaume wengi. Hata hivyo tofauti nyingi zinategemea pia [[utamaduni]] kwa sababu mara nyingi watu wamepanga [[shughuli]] na pia namna ya [[maisha]] tofauti kwa wanaume na wanawake, nahivyo watu wamezoea kuchukua matokeoma[[tokeo]] ya mapatano haya kama jambo la kimaumbile hata kama ni la kiutamaduni tu.
 
Pamoja na hayo, kuna wanaume wasio wachache sana wenye tabia zinazotazamiwa kuwa za kike kwa sababu miili yao huwa na viwango tofauti za homoni kama [[testosteroni]] na [[estrogeni]]. Kuna watu kadhaa wenye mwili wa kiume wanaojisikia kuwa wanawake.
 
{{mbegu-mtu}}
Line 17 ⟶ 20:
[[Jamii:Watu]]
[[Jamii:Jinsia]]
[[Jamii:Saikolojia]]
[[Jamii:Biolojia]]