Chembeuzi X : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Chembeuzi X''' ni moja katika jozi la chembeuzi za jinsia pamoja na chembeuzi Y. Ndizo zinazosababisha mtu kuwa mwanamume au mwanamke...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Chembeuzi X''' (pia: '''kromosomu X''', [[ing.]] ''X-chromosome'') ni moja katika [[jozi]] la [[chembeuzi za jinsia]] pamoja na [[chembeuzi Y]]. Ndizo zinazosababisha [[mtu]] kuwa [[mwanamume]] au [[mwanamke]], na vilevile [[wanyama]] kuwa wa kiume au wa kike.
 
[[Baba]] tu ana chembeuzi hiyo (pamoja na ile ya Y) na hivyo anaweza kumrithisha mwanae, ambaye kwa njia hiyo atakuwa wa kike kwa kuwa [[mama]] ana jozi la chembeuzi X asiweze kurithisha chembeuzi Y inayomfanya mtoto kuwa wa kiume.