Fizikia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 29:
Falsafa ya asili ina chanzo chake huko Ugiriki wakati wa kipindi cha Archaid, (650 K.K– 480K.K), ambapo wanafalsafa wa kabla ya Socrates kama Thales waliyakataa maelezo yasiyo ya kiasili kwa matukio ya kiasilia na kutangaza kwamba kila tukio lilikua na sababu za kiasili. Walipendekeza kwamba mawazo lazima yathibitishwe na sababu makini na uoni na nyingi katika nadharia zao zilithibitishwa kwa mafanikio makubwa katika majaribio mbalimbali, kwa mfano, nadharia ya atomi ilijulikana kuwa sahihi takribani miaka 2000 baada ya kupendekezwa mara ya kwanza na Leucippus and his ma mwanafunzi wake Democritus.
 
Fizikia ya kale
Classical physics
 
Sir Isaac Newton (1643–1727), Alianzisha sheria zake za mwendo na uvutano ambazo zilikua ni upigaji mkubwa wa hatua katika classical physics.