Fizikia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Magnet 4.jpg|thumb|250px|right|A [[Upitishoumemkuu|kipitishoumemkuu]] kuonyesha [[Ifekti ya Meissner]].]]
'''Fizikia''' (kutoka [[
Ni [[taaluma]] kutoka [[shina]] la [[sayansi]] yenye kushughulika na
== Utangulizi ==
Tangu zama za nyuma kabisa, [[wanafalsafa ya asili]] walijaribu kueleza ma[[fumbo]] kama vile mienendo ya [[sayari]] na asili ya maada. Mlengo huu ulijulikana hapo mwanzo kama ''Fizikisi'' (''kut.'' eng., ''Physics'', ikiandikwa Physike kuiga [[dhana]] ya [[Aristotle]]).
Kuibuka kwa Fizikia kama [[tawi]] la sayansi lenye kujitegemea toka kwenye shina la [[falsafa asilia]], kulitokana na [[mapinduzi ya kisayansi]] ya [[karne ya 16]] na [[karne ya 17|ya 17]] na kuendelea mpaka pambazuko la [[Sayansi ya Kisasa]], mwanzoni mwa [[karne ya 20]].
Ugunduzi katika Sayansi umegusa kote ndani ya Sayansi Asilia, na Fizikia inaelezwa kama ''Sayansi ya Msingi'' kwa sababu nyanja zingine kama Kemia na Baiolojia, huchunguza mifumo ambayo tabia zake husimama toka kwenye kanuni za Fizikia. Kemia, kwa mfano, ni sayansi ya dutu iliyofanyika na atomu na molekyuli kwa wingi mmoja, lakini tabia za kampaundi za kikemia zinatathminiwa kwa tabia za kimaumbile za molekyuli zinazochipukia kwayo.▼
Nyanja hii imekuwa ikiendelea kutanuka kulingana na kukua kwa tafiti na kupelekea gunduzi mbalimbali kama vile: [[modeli sahili ya chembe za kimsingi]] na uelezi uliotanuka wa [[historia]] ya ulimwengu, sambamba na [[mapinduzi]] ya [[teknolojia]] mpya kama [[silaha za kinyuklia]] na [[semikonda]].
Fizikia ya vitendo inahusiana kwa karibu na [[Uhandisi]] na [[Tekinolojia]]. Mwanafizikia anayejihusisha na msingi wa utafiti hufanya muundopicha na kisha kufanya vitendo kwa kutumia vyombotekichi kama [[kikazanishio mwendo wa chembe]] na [[Biru]], na angali mwanafizikia anayejihusisha na [[tafiti zilizotendewa kazi]], huvumbua tekinolojia kama vile [[Upigaji Picha Kiusumaku Mtetemiazi]] (''Kut.'' eng. MRI, ''Magnetic Resonance Imaging'') na tranzista za sifa mbali mbali.▼
Leo hii [[utafiti]] unaendelea katika mikondo mipana ya kimata; kuhusisha [[mpitishoumemkuu]] katika [[joto]] la hali ya juu, [[Ukototiaji wa Kikwantumu]], utafutaji wa [[Higg Boson]], na [[jitahada]] za kuendeleza [[Nadharia]] ya [[Mtuazi wa Kikwantumu]]. Uliokitwa katika mitazamo na vitendo, na pia [[seti]] zilizojisheheneza kwa nadharia zinazodhihirishwa kwa [[Hisabati]] nzuri, Fizikia imetoa mchango mkubwa katika sayansi, teknolojia na [[falsafa]].
▲[[Ugunduzi]] katika Sayansi umegusa kote ndani ya [[Sayansi Asilia]], na Fizikia inaelezwa kama ''Sayansi ya Msingi'' kwa sababu nyanja zingine kama [[Kemia]] na
▲Fizikia ya vitendo inahusiana kwa karibu na [[Uhandisi]] na [[Tekinolojia]]. [[Mwanafizikia]] anayejihusisha na msingi wa utafiti hufanya [[muundopicha]] na kisha kufanya vitendo kwa kutumia [[vyombotekichi]] kama [[kikazanishio mwendo wa chembe]] na [[Biru]], na angali mwanafizikia anayejihusisha na [[tafiti zilizotendewa kazi]], huvumbua tekinolojia kama vile [[Upigaji Picha Kiusumaku Mtetemiazi]] (
Fizikia ya kinadharia ina uhusiano wa karibu na hisabati, ambayo huipa [[lugha]] ya nadharia za kimaumbile. Aghalabu ni kweli kwamba shauri la kwanza la Nadharia ni kupembua mahusiano katika sura ya kiulimwengu inayoshahibiana na yatendekayo. Kazi nyingine ya umuhimu sawa ni kufanyiza kanuni za mahusiano kimahesabu.
Matumizi ya hisabati katika nadharia huwakilisha dhana ya kimawazo, katika [[mchakato]] wa kuibua hitimisho muhimu kutoka kwenye hali ya [[Udhanifu]] uliopitia [[sheria]] rasmi za [[ukokotoaji]].
Hata hivyo, nafasi ya hisabati katika nyanja ya Fizikia ya Kinadharia inapelekea kwamba, si [[tatizo]] la mwanafizikia ya kinadharia kuchetua kidhibitihakikivu cha kihesabu na, kwa kweli kabisa; mahitaji yaliyokaza sana kwenye hesabu mara nyingi hupingana na kweli za kimaumbile.
Mwanafizikia ya Kinadharia mara nyingi vilevile huegamia katika [[ufuatiliaji]] [[tathmini]] wa kinamba na [[uchocheaji]] picha wa [[kompyuta]] na hivyo kuona matokeo yake; na ndiyo maana kompyuta na kuprogramu kompyuta vimekuwa na [[uwanda]] mpana wenye sura mbalimbali katika kufanya [[modeli]] za kimaumbile.
Kwa kweli, nyanja ya Hisabati na Ufuatiliaji tathmini kikompyuta ni uwanja uliochangamka katika utafiti.
Fizikia ya kinadharia mara nyingi huhusiana na falsafa na [[metafizikia]] ambapo inaangukia upande wa mawazo ya kufikirika kama vile [[nafasi za vizio wakadhaa]] na [[ulimwengu sambamba]].
== Nadharia ==
[[Picha:HAtomOrbitals.png|thumb|right|250px|[[
Ingawaje mwanafizikia husoma aina
utafiti.
==Historia==
[[Astronomia]] inatajwa kama sayansi ya kale zaidi ambapo [[jamii]] zilizokuwa [[ustaarabu|zimestaarabika]] zamani kama
Ingawa maelezo ya matukio hayo mara nyingi hayakua ya kisayansi na yenye upungufu wa vithibitisho hayo maono ya enzi hizo yalikua ni msingi wa uendelezaji wa elimu ya unajimu baadae.▼
▲Ingawa maelezo ya matukio hayo mara nyingi
Kwa mujibu wa Asger Aaboe, chanzo cha astronomia ya kimagharibi yaweza patikana mesopotamia, na juhudi zote za wamagharibi kuelekea sayansi ya uhalisia zimerithiwa kutoka astronomia ya kale ya kibabilonia. ▼
Wanaastronomia wa kimisri waliacha alama katika makaburi na kumbukumbu zingine juu ya makundi nyota na mienendo ya maumbo mengine katika samawati( maumbosamawati/magimba) mengine. Wakati mshairi wa kigiriki Homer aliandika juu ya maumbosamawati tofauti katika Iliad yake na Odyssey; baadae wanaastronomia wa kigiriki waliyapa majina makundi nyota mengi yanayoonekana katika kizio cha kaskazini cha dunia, majina ambayo bado ya natumika hadi leo.▼
▲Kwa mujibu wa [[Asger Aaboe]], [[chanzo]] cha astronomia ya
Falsafa ya asili.▼
Wanaastronomia wa [[Misri]] waliacha alama katika ma[[kaburi]] na [[kumbukumbu]] zingine juu ya ma[[kundi nyota]] na mienendo ya ma[[umbo]] mengine katika [[samawati]] (ma[[umbosamawati]]/ma[[gimba]]) mengine.
▲
Falsafa ya asili ina chanzo chake huko Ugiriki wakati wa kipindi cha Archaid, (650 K.K– 480K.K), ambapo wanafalsafa wa kabla ya Socrates kama Thales waliyakataa maelezo yasiyo ya kiasili kwa matukio ya kiasilia na kutangaza kwamba kila tukio lilikua na sababu za kiasili.
Walipendekeza kwamba mawazo lazima yathibitishwe na sababu makini na uoni na nyingi katika nadharia zao zilithibitishwa kwa mafanikio makubwa katika majaribio mbalimbali, kwa mfano, nadharia ya atomi ilijulikana kuwa sahihi takribani miaka 2000 baada ya kupendekezwa mara ya kwanza na Leucippus na mwanafunzi wake Democritus.
===Fizikia ya kizamani===
Sir Isaac Newton (1643–1727), Alianzisha sheria zake za mwendo na uvutano ambazo zilikua ni upigaji mkubwa wa hatua katika fizikia ya kizamani.
Line 42 ⟶ 63:
Ugunduzi wa sheria mpya za joto [[thermodynamics]], kemia na umemesumaku ulitokana na juhudi kubwa za uchunguzi katika kipindi cha mapinduzi ya viwanda kutokana na kuongezeka kwa kiasi kikubwa kwa mahitaji ya nishati . Sheria zenye maudhui ya fizikia ya kizamani ziliendelea luwa na matumizi makubwa katika matukio ya kila siku ambabo maada ilisafir na miendokasi isiyokarobia ule wa mwanga kwa kuwa yalitoa majibu yenye makadirio ya karibu zaidi, na nadharia kama kwanta ya kimakenika na ile ya rilativiti zilorahisika kuelekea kutoa majibu kama yaliyotolewa na classical physics. Hata hivyo makosa katika fizikia ya kizamani hasa kwa vitu vidogo zaidi na vile vyenye mwendo karibia ule wa mwanga vilipelekea kuendelezwa kwa fizikia ya kileo katika karne ya 20.
===Fizikia ya
Kazi za Albert Einstein (1879–1955), katika athari za kifotoelektriki na nadharia ya rilativiti ilipekea mapinduzi ya fizikia katika karne ya 20.
Max Planck (1858–1947),alianzilisha nadharia ya kwanta ya kimakenika [[vifurushi kimakenika]].
Fizikia ya
[[Vifurushikimakenika]] (Quantum mechanics) ilianzishwa kutokana na kazi za mwanzo za akina Werner Heisenberg, Erwin Schrödinger na Paul Dirac. Kutokana na kazi hizo za mwanzo kila mmoja katika tasnia yake muundo wa kiwango kinachotambulika wa fizikia ya hardali/ vitu vidogo ilipatikana . kufuatia ugunduzi wa tabia za hardali zinazokubaliana na Higgs boson katika kituo cha CERN mwaka 2012, hardali zote za msingi ziliweza kutabiriwa na muundo unaotambulikana, na hakuna hardali zingine zilizoonekana kupatikana, hata hivyo fiIkia zaidi ya muundo unaotambulika, na nadharia kama za supersymmetry, ni katika mambo yanayoendelea kufanyiwa utafiti hivi leo [citation needed]
Line 54 ⟶ 76:
{{Lango|Sayansi}}
==Viungo vya nje==
*https://en.m.wikipedia.org/wiki/Physics
{{mbegu-sayansi}}
[[Jamii:Fizikia]]
|